Large-Scale Tree Plantations

Industrial tree plantations are large-scale, intensively managed, even-aged monocultures, involving vast areas of fertile land under the control of plantation companies. Management of plantations involves the use of huge amounts of water as well as agrochemicals—which harm humans, and plants and animals in the plantations and surrounding areas.

Bulletin articles 22 December 2018
Wanakijiji katika Wilaya ya Port Loko, nchini Sierra Leone wanashangilia. Hii ni baada ya mapambano ya zaidi ya mwongo mmoja dhidi ya kampuni iliyokuwa imepora ardhi yao na kisha kupanda michikichi ya kuzalisha mafuta ya mawese, mahakama imeamua na kuridhia kuwa ardhi hiyo ni lazima irudishwe kwa wananchi. Kwa sasa wanajaribu kufikiria jinsi watakavyoitumia ardhi yao kubwa ambayo imegubikwa na mistari mingi ya michikichi ya mafuta ya mawese.
Bulletin articles 22 December 2018
Kwa mtazamo wa mara ya kwanza, kijiji cha Nzivi kinafanana na vijiji vingine katika eneo lile. Lakini kijiji hicho kina tofauti kubwa na vijiji vingine kwa sababu hakiruhusu wawekezaji wanaotaka kupanda mashamba makubwa kama vile upandaji wa mashamba makubwa ya miti...
Publications 9 March 2018
SWAHILI. Kuanzishwa Zaidi ya miongo miwili iliyopita, mashamba monoculture mawese na mifuniko ya mamilioni ya hekta za ardhi ya jamii katika Indonesia na Malaysia, na kuharibu misitu na kuyahama idadi ya watu. Hivi karibuni zaidi, mashamba hayo viwanda walipoanza kuzidi katika maeneo ya vijijini ya Afrika na Amerika ya Kusini. Madhara kwa jamii tayari kuthibitisha sawa na wale wanakabiliwa na watu Indonesian na Malaysia.